
Jinsi ya kuagiza
Kutoka agizo hadi tabasamu jeupe, hatua 3
Hulipi mpaka upokee
- 01
Bonyeza Agiza
Jaza jina, simu na mkoa wako. Sekunde 30 tu.
- 02
Tunakuthibitishia
Tunakupigia au kukutumia WhatsApp kuthibitisha anwani.
- 03
Kagua, kisha lipa
Tunakuletea bure Tanzania nzima. Kagua box original, ndipo ulipe.
Box moja, siku 21: meno kutoka njano hadi meupe.
Kila kikombe kinaacha alama.
Chai ya asubuhi, kahawa ya ofisini, sigara ya jioni. Kila siku madoa yanaongezeka, na mswaki peke yake hauyafikii.
☕ Chai na kahawa kila siku
🚬 Moshi wa sigara
🥤 Soda na vinywaji vyenye rangi
Siku yako kubwa inastahili tabasamu kubwa.
Harusi, interview, picha za familia, sikukuu. Usifiche tabasamu lako kwenye picha tena. Anza siku 21 kabla, ufike ukiwa tayari.
💍 Harusi na send-off
💼 Interview na kazi mpya
📸 Picha zitakazokaa milele
Tabasamu bila aibu, kila picha.
Kliniki ni ghali. Mkaa ni hatari. Dr. Dent ni jibu.
Kliniki inaanzia TSh 15,000 kwa jino moja. Mkaa na baking soda zinakwaruza enamel. Dr. Dent inakupa meno meupe kwa box moja, nyumbani.
💰 Bei moja kwa tabasamu zima
🦷 Salama kwa enamel
🏠 Unatumia nyumbani, muda wako
Okoa pesa, okoa muda, tabasamu zaidi.
Kwa Nini Dr. Dent Inashinda Njia za Zamani?
Kliniki inakula pesa na muda. Mkaa, ndimu na baking soda zinaumiza enamel. Strips feki hazina uhakika. Dr. Dent ni original, salama, na inafanya kazi nyumbani kwako.
|   |
|
|
|---|---|---|
| ⚡ Matokeo Haraka | ||
| 🌿 Bila Peroxide | ||
| 😌 Bila Maumivu | ||
| 🏠 Tumia Nyumbani | ||
| ✅ Original 100% |