Skip to product information
 +153 Reviews (4.75)

Taa ya Sensor Bila Waya · Inawaka Ukipita · Chaji USB-C (sm 30)

Taa ya Sensor Bila Waya · Inawaka Ukipita · Chaji USB-C (sm 30)

HOT PRODUCT | LOW STOCK

🚶 Inawaka ukipita

⚡ Umeme ukikatika, bado inawaka

🧲 Inabandikwa kwa sumaku

🔋 Chaji saa 3 

🎨 Rangi 3 za mwanga

🌙 Mchana inapumzika

Order Via WhatsApp View full details
Video halisi, sio picha za kubuni

Unapita tu. Inawaka.

Sogeza pembeni uone kila kitu inachofanya.

Inawaka ukipita
Inawaka ukipitaHakuna swichi ya kutafuta
Mkono tu unatosha
Mkono tu unatoshaSensor inakuona papo hapo
Jikoni pote panaonekana
Jikoni pote panaonekanaKata, pika, safisha bila kivuli
Inabandikwa kwa sumaku
Inabandikwa kwa sumakuSekunde 30, bila kutoboa
Rangi 3, gusa tu
Rangi 3, gusa tuNjano, asili au nyeupe
Inachaji kwa USB-C
Inachaji kwa USB-CKama unavyochaji simu
Saa 8 usiku

Giza halina huruma. Taa hii inayo.

Tochi ya simuMkono mmoja umeshika simu, mwingine umeshika sufuria. Na betri ya simu inazidi kushuka.
Kupapasa ukutaSwichi iko upande wa pili wa chumba. Unagonga meza, unakanyaga toy, unaamsha nyumba nzima.
Ngazi gizaniWatoto na wazee wanashuka ngazi usiku bila kuona. Hatua moja tu inatosha kuleta ajali.
Mgao wa umemeTANESCO wakikata, taa zote za ukutani zinazima pamoja. Unarudi kwenye mshumaa.
Saa 8 usiku: njia inajiwasha yenyewe unapopita

Suluhisho: taa inayokuona kabla hujaigusa. Unaingia, inawaka. Unaondoka, inajizima yenyewe.

Ijaribu sasa hivi

Bonyeza "Pita mbele yake".

Hivi ndivyo itakavyofanya nyumbani kwako. Chagua modi, kisha pita.

Inakuona hadi mita 3-5 · pembe 120°
Imezima. Inasubiri mtu.
  • Mita 3-5umbali wa kukuona
  • Pembe 120°inaona pana
  • Sekunde 20inajizima ukiondoka
Jinsi sensor inavyofanya kazi: giza, unapita inawaka, sekunde 20 inazima

Kwenye kielelezo hiki tumeharakisha sekunde 20 ili usisubiri. Kwenye taa halisi ni sekunde 20 kamili.

Popote penye giza

Ibandike pale giza linapokusumbua.

Taa ya sensor: jikoni

Chini ya kabati la jikoni, mwanga unaanguka moja kwa moja kwenye meza. Unakata, unapika, unaosha vyombo bila kivuli chako kukufunika.

  • Inawaka ukiingia jikoni
  • Mikono yako yote miwili huru
  • Mgao ukiingia unaendelea kupika
Taa ya sensor: kabatini

Unafungua kabati la nguo au stoo, mwanga unawaka. Unaona kila kitu bila kuwasha taa ya chumba na kumwamsha mtu.

  • Nguo, viatu na vitu vinaonekana
  • Hakuna kuamsha mwenzako
  • Inajizima ukifunga
Taa ya sensor: ngazi na korido

Usiku mtu akishuka ngazi au akienda chooni, njia inajiwasha yenyewe. Watoto na wazee wanatembea salama.

  • Hatua zinaonekana wazi
  • Salama kwa watoto na wazee
  • Hakuna kupapasa swichi
Taa ya sensor: wakati wa mgao

TANESCO wakikata, taa zote za ukutani zinazima pamoja. Hii ina betri yake, kwa hiyo unapopita inawaka kama kawaida. Mshumaa unabaki kabatini.

  • Haitumii umeme wa nyumba
  • Inawaka ukipita, hata gizani totoro
  • Hakuna moshi wala moto wa mshumaa
Mpango wa sekunde 10

Unahitaji ngapi?

Gusa sehemu zote zenye giza nyumbani kwako. Tutakuhesabia.

0taa

Chagua angalau sehemu moja.

Ushauri: taa moja ya sm 30 inatosha kabati au korido moja. Kwa meza ndefu ya jikoni na ngazi, weka mbili ili mwanga ufike kote.

Bila fundi, bila kutoboa

Hatua 3. Sekunde 30.

Hatua 3 za kufunga: bandika plate, weka taa, imekamilika
  1. Bandika plate1
    Bandika plate

    Toa karatasi nyuma ya plate ya chuma, ibandike chini ya kabati au ukutani. Gundi yake ipo tayari.

  2. Weka taa2
    Weka taa

    Sogeza taa karibu na plate. Sumaku inaishika yenyewe, imara. Unaiondoa kwa urahisi ukitaka kuchaji.

  3. Pita, inawaka3
    Pita, inawaka

    Imekwisha. Hakuna waya, hakuna fundi, hakuna kutoboa ukuta. Sekunde 30 tu.

Siri ya kushika vizuri: futa sehemu kwa kitambaa kikavu kabla ya kubandika plate. Uso safi, gundi inashika zaidi.

Jikoni likiwaka kwa taa ya sensorAsili · 100%
Wewe unachagua

Rangi 3. Mwanga unaoupenda.

Gusa rangi, kisha sogeza kipimo cha mwanga. Kwenye taa halisi: gusa kitufe cha rangi kubadili rangi, shikilia kupunguza au kuongeza mwanga.

Ya kawaida. Kabati, korido, ngazi.

Rangi tatu za taa zikibadilika
Ona halisiGusa kitufe: njano, asili, nyeupe.
Umeme ukikatika?

Haijali. Ina betri yake.

Haiunganishwi na umeme wa nyumba hata kidogo. TANESCO wakikata, yenyewe inaendelea kukuwashia njia.

USB-C

Taa ndogo: nyekundu inachaji, kijani imejaa.

1100mAhBetri ya ndani
~saa 3Kujaa kwa USB-C
hadi saa 1,200Ikisubiri kwenye modi ya sensor
saa 9-15Ikiwaka mfululizo bila kuzima
Taa ikichajiwa kwa waya wa USB-C
Chaja ya simu ya Type-C inatosha.

Muda wa betri unategemea mara ngapi unapita mbele yake na kiwango cha mwanga ulichochagua. Kwenye modi ya sensor inakaa muda mrefu kwa sababu inawaka ukiihitaji tu.

Unaingia, taa ya sensor inawaka yenyewe

Usiku wa leo, usipapase ukuta tena.

  • Inawaka ukipita, inajizima ukiondoka
  • Haina waya, inabandikwa kwa sumaku
  • Betri yake: mgao hauiathiri
  • Delivery bure, lipa ukipokea